Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunfgano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Mhandisi Binilith Mahenge mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Arusha ambapo alifungua Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi.
|