Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954736.TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA 3 WA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA LA MAZINGIRA

 Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana ambaye aliwakilisha Serikali ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa 3 wa Baraza la Umoja wa Mataifa la Mazingira akiwa katika Mkutano huo jijini Nairobi-Kenya kushoto kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Magdalena Mtenga


 

<< Back to News Archive.