Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955770.WAZIRI MAKAMBA AWASILSHA TAARIFA YA MIFUKO YA PLASTIKI KWA KAMATI YA BUNGE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira. Kikao hicho kimejumuisha pia wajumbe kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambapo Mhe. Makamba amewasilisha taarifa ya Utekelezaji wa agizo la kutotumia mifuko ya plastiki nchini.


 

<< Back to News Archive.