Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti kuendeleza programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani iliyofanyika mjini Dodoma