Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3777935.Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Bi. Terezya Huvisa  pamoja naujumbe kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Kigoma wakipokea wageni katika uwanja wa ndege wa Kigoma, ambao ni Waziri wa Elimu ya Msingi na Mazingira wa Zambia Prof. Nkandu Luo  (wa pili kulia) na Balozi wa Congo Nchini Tanzania Bw.khalfan Juma Mpango (wa mkwanza kushoto). Ugeni huo upo Nchi kuhudhuria Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika.  (Picha na Ali Meja)


 

<< Back to News Archive.