Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784820.Mafunzo- Mabadiliko ya Tabianchi

Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira Bw Richard Muyungi akitowa Mafunzo ya Utaratibu wa Utekelezaji wa Miradi ya Kupunguza Gesi ya Joto kwa Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais yaliofanyika Leo Kwenye Ukumbi wa Karimjee Mjini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.