Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784822.Mabadiliko ya Tabianchi

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango Tathimini na Ufuatiliaji Bi Grace Ngallu wakati wa Mafunzo ya Utaratibu wa Utekelezaji wa Mradi wa Kupunguza Gesi Joto Mafunzo hayo  yalioandaliwa Kwenye Ukumbi wa Karimjee Mjini Dar es Salaam Katikati Naibu Katibu Mkuu Ofisiya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava.


 

<< Back to News Archive.