Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3777945.MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA ĎAFRICAN PEER REVIEW MECHANISMí (APRAM)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo na Kiongozi wa Jopo la Wataalam kutoka Afrika wa Ujumbe wa  Kujitathmini Ki-Utawala Bora katika Afrika ‘African Peer Review Mechanism’ (APRM) Akere Tabeng Muna (kulia) na Mwenyekiti wa Ujumbe huo kutoka Tanzania, Hasa Mlawa (kushoto) baada kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo uliofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Machi 16, 2012 kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


 

<< Back to News Archive.