Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784823.Ujumbe wa Kujitathmini Ki-Utawala Bora katika Afrika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe wa Kujitathmini Ki-Utawala Bora katika Afrika ‘African Peer Review Mechanism’ (APRM) wakati ujumbe huo ulipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Machi 16, 2012 kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


 

<< Back to News Archive.