Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3777937.Mradi wa Ziwa Tanganyika wapatiwa Gari

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akimkabidhi Dk Hadson Nkotagu Gari aina ya Land Cruisel la Mradi wa Ziwa Tanganyika ambalolimetolewa Chini ya Ufadhili wa Banki ya Maendeleo ya Afrika[AFDB] hii ni gari ya pili ambayo imetolewa kwa shughuli za Mradi kuboresha Uvuvi katika Mwambao wa  Ziwa Tanganyika,Mikoa ya Kigoma,Rukwa na Katavi Shughuli hiyo imefanyika Ofisini kwa makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam[Picha na Ali Meja]


 

<< Back to News Archive.