Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3777922.Ziara ya Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpokea makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe, aliyewasili nchini leo Julai 8, 2012 kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo atakuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Bilal na kesho atatembelea Mazimbu mkoani Mororgoro. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

 

<< Back to News Archive.