Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3667018.TUNZO ZA WASANII BORA 2012 WA MUZIKI WA ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib, wakifuatilia burudani zilizokuwa zikiendelea jukwaani wakati wa hafla hiyo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


 

<< Back to News Archive.