Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3710845.Ujumbe kutoka Hongda Group ya Beijing China

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia zawadi ya picha wakati akikabidhiwa zawadi ya picha na Mwenyekiti  wa umoja wa Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu  (katikati) na Mjumbe, Liu Canglang,  wakati ujumbe huo ulipofiaka ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR 


 

<< Back to News Archive.