Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3710844.Ujumbe Kutoka Hongda Group, Beijing China

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe Kutoka Hongda Group, Beijing China, wakati ujumbe huo ulipofika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


 

<< Back to News Archive.