Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784826.Rais Jakaya Mrisho Kikwete arejea nchini akitoketa Addis Ababa, Ethiopia

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Saidi Mecky Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.


 

<< Back to News Archive.