Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3710846.Mkutano wa SADC unaohusu mikataba ya kimataifa ya Bayonuwai na Baiteknolojia nchini Africa ya Kusi

Wanasheria kutoka Ofisi ya makamu wa Rais kushoto, Bw. Nehemia Mandia, kulia Bw. Isakwisa lameck Mwankonda na Afisa habari Bi Evelyn Mkokoi katika Picha ya Pamoja wakijiandaa kuingia katika Mkutano wa kanda wa SADC unaohusu utekelezaji wa mikataba ya kimataifa ya Bayonuwai pamoja na Baiteknolojia jijini Johanesberg  Africa ya Kusini.


 

<< Back to News Archive.