Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3786363.Siku ya Mashujaa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo, Julai 25, 2012 kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, leo Julai 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


 

<< Back to News Archive.