Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3723524.Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na watoto waishio na ugonjwa wa kisukari, baada ya kufungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


 

<< Back to News Archive.