Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3786365.Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika,

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa ‘International Diabetes Federation’, Jean-Claude Mbanya,  baada ya kumaliza  hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


 

<< Back to News Archive.