Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3710841.MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTURIASHA WANANCHI WA KISIWA CHA PEMBA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wananchi wa Kisiwa cha Pemba, katika Futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao kwa pamoja katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana Agosti 14, 2012. Picha na OMR


 

<< Back to News Archive.