Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3786369.SENSA YA WATU NA MAKAZI 20012

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijiandaa kujibu maswali kutoka kwa Karani wa Sensa, Happyness Masaka (kulia) ikiwa ni sehemu ya kukamilisha zoezi hilo la Senza ya watu na Makazi, lililoanza  leo nchini kote, ambalo litadumu kwa siku saba. Picha na OMR


 

<< Back to News Archive.