Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3786364.Ziara Kilombero

Wazira wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Terezya Huvisa akizungumza na Wafugaji wa kijiji cha Ihanga Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro alipowataka Wafugaji Waondoa Mifugo yao na kuacha Uharibifu wa Mazigira kwenye hifadhi ya Bonde la Mto Kilombero wakati wa Ziara yaka Walaya ya Ulangana Kilombero jana


 

<< Back to News Archive.