Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3711682.Uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea

Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua Kituo cha Uwekezaji cha Watu wa Korea (KOREA Business Centre) Jijini Dar es Salaam

 

 -->

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kushoto upande wa kulia) akijumuika pamoja na viongozi KOTRA ya Tanzania, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Sept 06, 2012. Picha na OMR

 


 

<< Back to News Archive.