Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3710829.Uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Sept 06, 2012. Picha na OMR

 


 

<< Back to News Archive.