Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3710824.Makamu wa Rais Amuaga Mbunge wa Bunge la Zimbabwe

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Akiagana na Mbunge wa Bunge la Zimbabwe na Mjumbe wa Kamati ya Interparliamentaryunity (IPU), Thabitha Khumalo, wakati akiagana na ujumbe wa IPU baada ya mzungumzo na ujumbe huo, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,  Sept 11, 2012.


 

<< Back to News Archive.