Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3777916.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Terezya Huvisa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Dk. Terezya Huvisa (kulia) akizungumza na Waziri Gregory Barker kutoka Idara ya Nishati na Mabadiliko ya Tabia nchi ya nchini Uingereza.

 

Dk. Huvisa na Bw. Barker wamejadili jitihada za Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi. Mazungumzo hayo yamefanyika leo katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli, Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.