Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784897.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wazee wa Chama cha Mapinduzi, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, leo Feb 3, 2013 kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika mkoa huo.


 

<< Back to News Archive.