Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776790.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakifurahia burudani ya ngoma ya asili, wakati walipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, leo Feb 3, 2013 kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika mkoa huo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Gabriel Tupa.


 

<< Back to News Archive.