Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776768.Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali, yatakayofanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo yamefunguliwa leo Mei 22, 2013. Picha na OMR


 

<< Back to News Archive.