Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776534.Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa maonyesho hayo. wakati alipotembelea  kwenye Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali yanayofanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.