Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962123.BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO, WIKI YA SERA ZA KUONDOA UMASKINI JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere kwa ajili kufungua mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,


 

<< Back to News Archive.