Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776514.TUZO KWA WATANZANIA WALIO MSTARI WA MBELE KATIKA KUBORESHA AFYA YA MAMA NA MTOTO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Nesi Yasinta Baruti, kutoka Mkoa wa Katavi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam


 

<< Back to News Archive.