Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784902.Kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani

Waziri wa Nchi  Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Eng. Dkt Binilith Satano Mahenge akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam  kuhusu maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani yatakayofanyika 5 juni mwaka huu jijini Mwanza.


 

<< Back to News Archive.