Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960423.Mkutano wa kundi la G77 na China, kwenye mkutano wa Mabadiliko ya tabia nchi,mjini Bonn Ujerumani

Kushoto Waziri wa nchi Ofisi ya makamu wa rais Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan, kulia Mkurugenzi Msaidi Ofisi ya makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya mabadiliko ya Tabia Nchi Bw. Richard Muyungi katika mkutano wa kundi la G77 na China, kwenye mkutano wa Mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Bonn Ujerumani


 

<< Back to News Archive.