Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776560.KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KITAIFA MKOANI MWANZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Wilaya ya Ilemela, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza, Juni 5, 2014. Katika Kilele hicho Makamu wa Rais alitoa tuzo na kukabidhi vyeti kwa washindi wa Usafi wa Mazingira kuanzia Vjiji hadi Halmashauri za mikoa mbalimbali ya nchini.-->

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Wilaya ya Ilemela, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza, Juni 5, 2014. Katika Kilele hicho Makamu wa Rais alitoa tuzo na kukabidhi vyeti kwa washindi wa Usafi wa Mazingira kuanzia Vjiji hadi Halmashauri za mikoa mbalimbali ya nchini.


 

<< Back to News Archive.