Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962170.Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mzingira akizungumza na Balozi wa Ujerumani

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dr. Eng. Binilith Satano Mahenge wa (kwanza kushoto) akizungumza na Balozi wa Ujerumani Mr. Hans Koeppel alipomtembelea ofisini kwakwe mtaa wa luthuli jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaotarajia kufanyika julai mwaka huu mjini Berlin Ujerumani.


 

<< Back to News Archive.