Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955764.KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAJI HISA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF, Kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.