Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962115.MHESHIMIWA MAKAMBA ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Maingira, Mh. January Makamba (kushoto), akiongea na Balozi wa Uingereza nchini Bi. Dianna Melrose (katikati). kulia ni Naibu Balozi wa Uingereza nchini Bw. Matt Sutherlal walipomtembelea Mh. Waziri leo ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kufahamiana na kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Uingereza katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.


 

<< Back to News Archive.