Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962126.MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea kitabu cha kinachoelezea Historia ya masuala ya Usuluhishi na migogoro kilichoandikwa na aliyekuwa Balozi wa zamani wa Finland hapa Nchini Mhe. Mart  Akhtsary  wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Januari 07,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.


 

<< Back to News Archive.