Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954778.MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi wa Uholanzi hapa Nchini Mhe. Jaap Frederiks, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Januari 07,2016 kwa ajili ya kujitambulisha. 


 

<< Back to News Archive.