Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954760.MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA GEITA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea na kukagua chanzo na mtambo wa kuchujia maji unaofadhiliwa na kampuni ya Uchimbaji ya Geita Gold Mining (GGM)  kabla ya kuzindua mtambo huo katika kijiji cha Nyankanga Mkoani Geita.  kushoto Mkurugenzi Mkuu wa GGM Terry Melpeter, kulia Mwenyeketi wa CCM Mkoa Geita King Msukuma.


 

<< Back to News Archive.