Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955810.WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA NA MUUNGANO) JANUARY MAKAMBA ATOA TAMKO LA SERIKAL

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Katikati) akiongea na waandishi kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari na kutoa Taarifa ya Serikali kuhusu zoezi la kuhamisha wakazi wa mabondeni katika Jiji la Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Dk. Julius Ningu na wakwanza kushoto ni Dr. Vedasto Makota kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)


 

<< Back to News Archive.