Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010331.ZIARA YA NAIBU WAZIRI JIJINI MWANZA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Luhaga Mpina (mwenye miwani), Akipokea maelezo kutoka kwa mkazi wa eneo la Mlango mmoja kata ya Mabatini kuhusu kero zinazowapata kutokana na mlundikano wa taka katika eneo hilo. Alitoa agizo kuwa ni lazima awepo mtu wa kusimamia upakiaji wa taka kwenye vyombo vya kuwekea taka. Pia aliagiza uongozi wa Jiji kuhamisha kituo hicho kutoka eneo hilo kwa kuwa ni eneo lenye mkusanyiko wa watu.


 

<< Back to News Archive.