Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957098.MAMA SAMIA AZINDUA KITUO CHA WAJASIRIAMALI ZANZIBAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kilichopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016, ikiwa ni moja ya miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho. 


 

<< Back to News Archive.