Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010341.MAMA SAMIA AZINDUA KITUO CHA WAJASIRIAMALI ZANZIBAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya mitambo inayotumia nguvu ya umeme wa jua ya kutengenezea nafaka za aina mbalimbali katika kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kiliopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016, baada ya kukifungua rasmi  ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho. 


 

<< Back to News Archive.