Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954705.MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AKIWA KATIKA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamanda wa Vikosi mbalimbali vya Ulinzi na Usalama alipowasili Uwanja wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 52 ya Mapinduzi


 

<< Back to News Archive.