Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954769.MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AKIWA KATIKA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein walipokua wakifuatilia Taarab ya kikundi cha Taifa ya kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 52 ya MapinduziZanzibar iliyofanyika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.


 

<< Back to News Archive.