Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957050.NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AKAGUA HALI YA MAZINGIRA JIJIJI MWANZA

Naibu waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mh. Luhaga Mpina akishuhudia utupaji ovyo wa taka na utiririshaji wa maji taka katika machinjio ya Jiji la Mwanza hali inayohatarisha afya wa wakazi wa maeneo hayo. Mh. Naibu Waziri ameuagiza uongozi wa Jiji la Mwanza kuchukua hatua za haraka za kuhifadhi mazingira na kujenga mfumo wa kutibu maji taka.


 

<< Back to News Archive.