Sehemu ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliohudhuria kikao cha Menejimenti wakimsikiliza Katibu Mkuu (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika Ofisini hapo.