Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957088.UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA UMOJA WA MATAIFA WA UADILIFU KWA WAFANYA BIASHARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha kitabu cha mpango mkakati baada ya kuzindua mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli za kwa uadilifu (UNGC) uzinduzi huo umefanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.